Wanawake wa leo mnaweza kama alivyoweza esta

Wanawake wa leo mnaweza kama alivyoweza esta kubadilisha mawazo ya mfalme na akaokoa taifa la israeli lisiangamizwe basi nanyi pia mnaweza .

Cha msingi mzidi kujiamini na kuthubutu kuchukua hatua zitazowaletea maendeleo. Ila msije mkamsahau Mungu maana yeye ndio kimbilio na msaada , bali  dumuni katika imani , kusali na kuomba ili Mungu azidi kuwabariki katika maisha yenu na mkawe mfano bora katika jamii.

Nawaombea Mungu awabariki na azidi kuwasogeza kutoka hatua moja ya maisha hadi nyingine.

Happy women's day to all women.




Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FURAHA YA BWANA NDIYO NGUVU YANGU

JE NI SAUMU IPI INAKUBALIKA MBELE ZA MUNGU?

MADHARA UTAKAYOPATA KAMA USIPOTUMIA KIPAJI CHAKO