FURAHA YA BWANA NDIYO NGUVU YANGU

BWANA YESU ASIFIWE MTUMISHI WA MUNGU.

BIBLIA INASEMA KATIKA

WAFILIPI 4:4-6 FURAHINI KATIKA BWANA TENA NASEMA FURAHINI. UPOLE WENU NA UJULIKANE NA WATU WOTE. MSIJISUMBUE KWA NENO LOLOTE  BALI KATIKA KILA NENO KWA KUSALI NA KUOMBA PAMOJA NA KUSHUKURU, HAJA ZENU NA ZIJULIKANE NA MUNGU.

MTUMISHI NAKUOMBEA MUNGU AKUPE KICHEKO KATIKA HUDUMA ULIYONAYO, FAMILIA YAKO, BIASHARA NA KAZI YAKO PIA BILA KUJALISHA UNAPITIA HALI GANI HAKIKA UKIMTEGEMEA YESU ATAKUSAIDIA KUSHINDA MAJARIBU UNAYOPITIA SASA.

KAMA UNAHITAJI USHAURI, MAOMBI & MAOMBEZI TAFADHALI USISITE KUWASILIANA NAMI

Wako katika ujenzi wa Taifa
Mwalimu Caleb Samuel Bandora

BONYEZA HAYA MAANDISHI ILI KUJIUNGA NAMI NIWE NAKUTUMIA MAKALA NZURI NA MASOMO YA NENO LA MUNGU, UJASIRIAMALI, BIASHARA NA MAFANIKIO KWA NJIA YA EMAIL KILA WIKI







Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

JE NI SAUMU IPI INAKUBALIKA MBELE ZA MUNGU?

MADHARA UTAKAYOPATA KAMA USIPOTUMIA KIPAJI CHAKO